Makubaliano ya Jumuiya ya IU Health

IU Health Community Agreement | El acuerdo comunitario de IU Health | اتفاقية مجتمع IU Health | IU Health လူမှုအသိုင်းအဝိုင်း၏ သဘောတူညီချက်။ | IU Harhdamnak Pawlkom Lungkim Tlangnak | Akò Kominote IU Health la | IU Health Mibu Hnatlaknak | Amasezerano y’umuryango mugari wa IU Health | د IU Health د ټولنې هوکړه لیک | IU Health ਭਾਈਚਾਰਾ ਇਕਰਾਰਨਾਮਾ

Katika IU Health, tunatunzana kila wakati, kuhakikisha kila mtu anahisi kukubalika na kuthaminiwa. Tunawaomba wagonjwa, wanatimu, wageni, na wachuuzi wote wafuate Makubaliano ya Jumuiya ya IU Health. Makubaliano haya hutumika kama mwongozo wa jinsi tunavyotendeana wakati tuko katika vituo vya IU Health na/au wakati huduma za IU Health zinatolewa.

Makubaliano ya Jumuiya ya IU Health

Kama mgonjwa, mwanatimu, mgeni na/au muuzaji katika IU Health, nitatoa na kupokea:

  • Maneno ya kweli
  • Huduma na utunzaji
  • Huruma
  • Taadhima na heshima

Ninawajibika kwa kile ninachosema na jinsi ninavyotenda. Ikiwa sitatekeleza makubaliano haya, mtu fulani atawasiliana nami kujadili chaguzi za kuondoka kwangu.